Hivi ntakuwa mgonjwa

Hivi ntakuwa mgonjwa

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
Mke wangu alienda kwao kujifungua,Zimepita siku 70, nimechepuka Mara moja tu Tena mechi ya muda mfupi,najikuta daily nipo bussy na kazi , nikurudi jioni Ni kupita bar Kula mitungi Kisha kulala, hii hali ya ubize imeanzza kunishitua Sana kuwa huenda sipo sawa ,
 
Kawaida tu

KaZi ina thamani kuliko kut*mba hovyo hovyo.

Kwahiyo ukiona akili yako inakutuma kufanya kazi then fanya kazi sababu jamii inaheshimu mwanaume mwenyewe nguvu ya uchumi.Huna hiyo nguvu you’re a loser tu


Sasa utakubali kuwa loser sababu ya kuendekeza ngono???
 
Karne hii ni ngumu kupata wanaume mazezeta kama wewe,siku70 mechi moja
 
Back
Top Bottom