Mke wangu alienda kwao kujifungua,Zimepita siku 70, nimechepuka Mara moja tu Tena mechi ya muda mfupi,najikuta daily nipo bussy na kazi , nikurudi jioni Ni kupita bar Kula mitungi Kisha kulala, hii hali ya ubize imeanzza kunishitua Sana kuwa huenda sipo sawa ,
Kwahiyo ukiona akili yako inakutuma kufanya kazi then fanya kazi sababu jamii inaheshimu mwanaume mwenyewe nguvu ya uchumi.Huna hiyo nguvu youโre a loser tu
Sasa utakubali kuwa loser sababu ya kuendekeza ngono???