Hivi Nyani Ngabu anafanya kazi ubalozini?

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Jamani folks, mi uwa namkubali sana nyani ngabu kwa ngeli yake kwani huwa inanibidi nitafute dictionary. Hivi monkey ngabu unafanya kazi pale british embasy au mwalimu wa internatonal school au we ni head of departnment wa language katika vyuo vya hapa bongo?
 
Mimi ni raisi wa wabeba maboksi. Sifanyi kazi ubalozini, siyo mwalimu wa shule ya kimataifa, na wala si mkuu wa idara ya lugha katika chuo chochote kile. Sina kabisa sifa za kuwa kwenye sehemu kama hizo.

Mimi ni mtu wa boksi tu, mwanzo mwisho, juu chini.
 

Nyani.....hivi haya maboksi yako unayabebea kiunoni au kichwani???
 
Bora Nyani sasa hivi zamu yako
Koyaga nago!!!
 
sasa hayo ma box unabeba uingereza au? ila ulisoma Ba in languages? mbona ngeli yako nhumu sana? !
 

tunaweza kusema your english is a product ya Shebby Robby...zaidi kuliko kubeba box??????
 
prezaida wa madali na maboksi mbona sikuoni twitter?

ps. unafuatilia haya mambo ya mwajiri wako wa zamani:
---

Subject: Re: The Missing Quote from the Dr. King Memorial...


From: [...]

Everyone should read this news story.
The Missing Quote from the Dr. King Memorial...

While some commentators like Cornel West have pointed out that King stated that America is a sick society, most of King commemorations ignore his social criticism in favor of a bland, phony call to "diversity" and "brotherhood", and they do more to pervert and undermine his message than to promote it. And it's mostly black folks, rather than white folks, who are guilty.
---

?
 

Hiyo sakata nimeifuatilia sana na ni Maya Angelou ndiye ali raise a stink!

NB; Mimi si mtu wa twitter, facebook, etc.
 
Hiyo sakata nimeifuatilia sana na ni Maya Angelou ndiye ali raise a stink!

NB; Mimi si mtu wa twitter, facebook, etc.

pamoja na hayo icon wako alikuwa softi sana ukilinganisha na mgumu malcolm x ambaye mnugu manning marable kajaribu kumshusha hadhi bila mafanikio!
 

wamarekani weusi
wana matatizo sana
siku hizi hata Malcolm X hawamzungumzi saana
sababu whites walimpinga....ni Martin Luther King ndo wanamtambua zaidi...
 
JF weka wimbo wa taifa.
speech ya rais iheshimiwe.
 
Binam yako if you don't mind ningependa kweli nijue jinsia yako.... Just in case.....lol
 
Kumbe unapenda madaraka thats why?

Nani kakupa huo Urais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…