sio wote wanaishi kwa kufuata bible , wengi tunaishi kwa kuiga western culture kwa hiyo mimi nadhani unachimba kwenye wrong source.
JE HUKO TULIKO HIGA HIZO PETE WANAMAANA GANI?
lakini pia kumbuka kwamba bible ina heshimu tamaduni zetu.
Mnazungumzia Biblia pekee, kwani kwenye Quran suala la pete ya ndoa halizungumziwi?
Shemej unaukataa ukweli?Unaposema anajipotezea bahati ya kuolewa kwani anakua amekwambia anataka kuolewa??Unajuaje kama havai kwasababu hiyo hiyo kwamba hataki ndoa hivyo anavaa ili wamtambue kama mke /mchumba wa mtu??Au unajuaje kama havai ili awavutie wale wanaopenda wake za watu??Hapo anapata mahusiano yasiyo na ulikua wapi au kwanini simu unazima usiku!!Kabla hujajua kwanini mtu anafanya kitu ambacho sio uasi wa aina yoyote ile chunguza sababu kabla ya kumhukumu!
Shemej unaukataa ukweli?
Kweli kabisa anzisha lizzy nakuhakikishia page zaidi ya mia nne lol wanavua wanafikiri mademu ndio hawapendi waume za watu lolNgoja na mimi nianzishe yangu....HIVI KINA KAKA /BABA MNA NINI KUVUA PETE ZENU ZA NDOA????
Malengo gani ya kuvaa pete za ndoa? kwa nini asijiamini na kuwajibu wote wanaomsumbua kwamba hataki usumbufu, na nani kasema mwenye pete asumbuliwi? watu wamepinda balaaMi kwa mtazamo wangu sion kama ni vibaya kwan mwingine anaivaa akiwa na malengo yake lbd hataki kuwa na mwanaume hadi malengo yake yatakapotimia so sion ajabu
saaaafi sana dada swali zuri maana tusiwasakame bureNgoja na mimi nianzishe yangu....HIVI KINA KAKA /BABA MNA NINI KUVUA PETE ZENU ZA NDOA????
Jamani inanishangaza, hii si mara ya kwanza kuliona na leo nimeamua kulivalia njuga. Jamani hebu liangalieni hili, utakuta mwanamke, mdada bado hakubahatika kuolewa na ukimfuatilia kwa undani utagundua ana kazi yake nzuuuuuuri tuu,ila hana cha boyfriend wala fiancee. Cha ajabu kila cku anajivalia pete ya ndoa tena ya gharama kubwa,tena wakati akitembea anaurusha ule mkono wenye pete kwa maringo makubwa ili kila apishanaye aione. Hivi hamuoni kama hii ni kutaka kujipotezea bahati ya kuolewa au? Au wana jf mnalizungumziaje hili?
Kuna dada mmoja nilimuuliza akasema alikuwa anapata usumbufu mwingi kutoka kwa kinakaka na toka aamue kuvaa kapumzika usumbufu,nikamuuliza kwanini ? akadai hana muda wa mahusiano kwa sasa kamaliza masomo na kuanza kazi karibuni na anaweka maisha yake sawa na pia nyumbani kwao kuna shida inabidi asaidie kwa hiyo akili yake yote iko huko na baadae akijiweka sawa na familia pia ataivua.Kuepuka usumbufu. Unajua kuna baadhi ya wanaume wakiona mdada ana pete ya ndoa wanamwogopa na kumpa heshima kama mke wa mtu.