Hivi nyie makapuku kule kwenye uzi wenu huwa mnaongelea nini?

nilivoona huu Uzi nikashituka kidogo... nikasema ngoja niangalie jina la mtoa mada..nilivoliona tu.. nikasema basi kumbe ni sawa
 
Watu Fulani hawana shobo na MTU ila wamejipanga sana!
Kule utakutana na magazeti,quotes,hot news na vingine vingi!
 
Nafikili topic kubwa ni ukapuku na yanayofanana na hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…