Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
Habari za wakati huu wanaJF wenzangu, ni matumaini yangu mko salama kabisa ndugu zangu. Acha niende kwenye maada moja kwa moja.
Eeeh Bhana kuna mshikaji mmoja alikuwa anamla Manzi fulani hapa mtaani na bahati nzuri au Mbaya yule demu akashika ujauzito so ikabidi wasogezane waanze kuishi pamoja na juzi juzi wamebariki ndoa yao baada ya demu wake kujifungua.
Jamaa baada ya muda kidogo tu ameshaanza kutuhubiria vijana etii oooh ni “Dhambi kushiriki tendo la ndoa na mwanamke ambaye hujamuoa”
Ili hali yeye, Namjua alikua kitombi sawa sawa alfu anaenda mbali kutuharibia mitego yetu [emoji28]. Jamaa anaandika kwenye status..”Mwanaume anayekupenda hakuombi sex na wala hawezi thubutu kukugusa ngozi yako” Serious? Baada ya kuvuru wadada za watu leo unageuka Chri Mauki ilikuwa Kidogo nimuulize.
Niwaulize tena nyie mliooa au kuolewa, mnatuonaje sisi ambao hatujaoa bado? Yaani mnatuonaje onaje? [emoji23][emoji23][emoji23]