Hivi nyie mliooa mnatuonaje siye ambao hatujaoa?

Mwenzio kafundishwa hayo kayaelewa na kayafanyia kazi, Kisha kaamua kuwa mwalimu wa wengine.
Hivyo Basi kwa kuwa unaonekana kutoelewa somo, usikasirike na kuona mwenzio anakudharau, badala yake ungekuja hapa kuuliza iwapo hayo anayokuasa Ni kweli ama laaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…