my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Nimefikiria nimefikiriaaa nimekosa jibu. Kuna hawa watu hasa wa instagram wakipata tu habari ya mtu maarufu au msanii amekufa wanaanza kufollow account yake ya instagram.
Hivi hua mnawatakia nini marehemu? Unajua kabisa amekufa hata ukimfollow inakuwa haina maana tena, hatopost tena na hata akipost anakuwa si yeye aliepost.
Wakati yupo hai hamjamfollow baada ya kupata habari ya kifo chake ndo mnaenda kumfollow 🙄 watu wengine mnakuwaga kama wachawi vile, wachawi msiokua na vitendea kazi. Mkipewa ungo na tunguli lazima mpae usiku nyie sio watu wazuri kabisa!!