FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Jamani eeee nitawakaribisha wote,maana hapa JF sisi wote ni marafiki,wale ma-he na She wote watakaribishwa.
1.Swali ni kwa nini um-jurge mtu
2. Huna kazi nyingine ya kufanya
3.leo sijui niende kujiburudisha wapi hii weekend 🙂
Nenda Kigamboni. Kuna zoo moja nzuri sana. Tunaweza kukutana huko huwezi jua. Ukiona handsome boy mmoja mwenye athletic figure ujue huyo ndio Chris wako.
atakukuta kipepeo shemasi.
huyu dem ni BONGE LA BAUNSA,NA MANYOYA KIAO KAMA FARASI
Point taken. Katekista niko naye beneti. Si unaona anvyonipigia ndogondogo. Halafu nilisahau kukuuliza. PJ are she or he?
Aaaaaaaaarghhhh!!
Ntake radhi Chrispin!
Ninaheshimika sana na jamii inayonizunguka!
Nashukuru wengi wao si members wa JF, vinginevyo wangeliona swali hili wangenidharau! he...he...hee!!!
Mi ni he bana!
1.Swali ni kwa nini um-jurge mtu
2. Huna kazi nyingine ya kufanya
3.leo sijui niende kujiburudisha wapi hii weekend 🙂
FL1,
QI:
Kwa maana ya ku`judge niijuayo mimi, Hakuna mtu aliyekwisha kuwa judged hapa. Kikubwa ni swali linaulizwa, baada ya mimi kuhisi doubts.
Nadhani unakubaliana na mimi kuwa kuuliza si ujinga!
Q2:
Nina kazi nzuri sana ya kuajiriwa, na muda huu niko ofisini nachapa kazi1
Q3:
Hapa sina comment , ungekuwa hapa Lindi sehemu nzuri ya kwenda kwa huku ni Baharini tu. Enjoy your w/end/
First Lady,
Leo niko Dar shost baada ya miaka kama 7 hivi nitakuwa na baadhi ya mashoga zangu kawe klub kuanzia saa tisa karibu tujumuike.
Ka Chris,
mie SHE.
Jambo la msingi usiwe msumbufu tu,nasikia kuna samaki wa kuchoma pale.Ni vyema ukija na wifi yetu.
...lol! anakuzibia sasa! ..wifi tena?
we unataka niachie?acha iliwe nanyenyere.
NiPM basi. Naona PJ anataka kukorofisha mipango yetu.