Hivi nyie ni Akina Dada kweli au...?

Hamna, mi ni silent Observer! Niko hapa kwaajili ya kusawazisha pale ambapo mtakuwa mnaenda ndivyo sivyo!

Yaani niko kama Catalyst vile!

Taratibu dada Natasha eeh, Crispin yuko single, na wala hanaga shida ya hela hizi ndogondogo!

Binamu unanidai bia tano kama unatumia, na kitimoto kilo moja kama unatumia. Hilo pande la uhakika.
 
Conclusion: wale wanaojifanya madem wakat wao ni mamen wote ni mashoga.
Mi nagonga mashoga, naomba wani pm.
 
Conclusion: wale wanaojifanya madem wakat wao ni mamen wote ni mashoga.
Mi nagonga mashoga, naomba wani pm.

Kuna thread moja huko inazungumzia mambo hayo. Nenda huko.
 
Si unaona cRISPIN... WE huwa unajiharibiaga mwenyewe! Kumbe mrembo hatumii kiti`s!
Badilisha gia basi kabla hajachench mind!

Binamu leo naona ntalala njaa. Wote wamesepa. Watanifanya nikakasarandie kale ka baamedi ka ki mbulu.
 
Conclusion: wale wanaojifanya madem wakat wao ni mamen wote ni mashoga.
Mi nagonga mashoga, naomba wani pm.

Huh!
I`ve a partial paralysis!
Mjomba huna hata vunga kidogo?
 
@Natasha namaanisha hawajamaa ni ubwabwa aka rojorojo aka si rizki
@chrispn siendi kokote nawataftia ktk thread hii hii
@Pj usione noma hawa jamaa wako wengi sana siku hizi mitaani. C siri tena siku hizi
 
Humu wakina dada wapo, na mimi mmojawapo. ILa sidhani kama kweli humu JF watu wanatumia gender tofauti na walizonazo, kama wapo watakuwa wanajidanganya wenyewe.

Naomba unionyeshe basi maana hata yule mwanariadha wa SA, Semenya alileta utata!
 
Naomba unionyeshe basi maana hata yule mwanariadha wa SA, Semenya alileta utata!

Mzee umekuja, ofisi ilikuwa tight nini, maana toka asubuhi kimya mkuu, unajua ninyi ndo mnaonogesha jamvi!
Haya jibu hizo tuhuma!
 
Mzee umekuja, ofisi ilikuwa tight nini, maana toka asubuhi kimya mkuu, unajua ninyi ndo mnaonogesha jamvi! Haya jibu hizo tuhuma!

Baba ndo naamka jana nilipombeka sana hapa nimepata supu ya mkia wa pweza ....nimengusha Serengeti kibao jana....!
 
Baba ndo naamka jana nilipombeka sana hapa nimepata supu ya mkia wa pweza ....nimengusha Serengeti kibao jana....!

Tehe......!
Sasa unajua hiyo supu ndo mbaya zaidi, maana itaku`lead kwenye kutaka nanihiino tena! So you will go back to square one!

Kazi unayo mkuu!
 
"naona kuna mtu anakimbizana na upepo -lean to trust your self ..."😱

Yote haya mnamtakia nyie!! siku akiwabamba itakuwa nomaaaaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…