Tehe......!
Sasa unajua hiyo supu ndo mbaya zaidi, maana itaku`lead kwenye kutaka nanihiino tena! So you will go back to square one! Kazi unayo mkuu!
shemasi unajua huyu ni HE!
I need a soft touch kujua ukweli kwa waniaba ya wenzangu! Nitawahabarisha
Baba kwa kweli mimi napenda sana pombe kuliko chochote......kwenye kabati langu la baridi kuna ulabu mwingi kuliko msosi...wadada hawanipi shida sana ingawa huwa nawazimikia kimtindo!
PakaJimmy alikuwa anaomba nafasi katika kanisa letu. Tulikuwa tunasubiri baraka zako. Mchungaji angalia pepo anataka kukushinda nguvu. Unapenda sana pombe? Umesahau lugha yetu hatusemi pombe, ile ni divai au mvinyo.
Kazi Nzuri Ubarikiwe....!Mchungaji kanisa nusura lisarambatishwe na mapepo. Nilikuwa na katekista tunapambana wanakondoo wasipotee. Tafadhali fanya mambo uwarudishe kundini.
Kumbe watu mko serious eh?!!I need a soft touch kujua ukweli kwa waniaba ya wenzangu! Nitawahabarisha
Asante kwa ushauri! i'll keep distance trust meThey mean business these guys...Cheza nao mbali sana...lol!
Hujatulia MasaniloJinsia tafadhali!
Hujatulia Masanilo
hebu mpm chrispin for credit check....!
Baba ndo naamka jana nilipombeka sana hapa nimepata supu ya mkia wa pweza ....nimengusha Serengeti kibao jana....!
Mkuu wetu upo? nimecheka sana, sa hizi ndio naingia humu, nilikuwa nimebanwa na ma report ya WAKABURU na deadline zao sio mchezo. Anyway PAKAJIMY u made my day bra siajabu kuna watu wanatuzingua humu kumbe ni wanaume nafikiri tuanze na mpwa Geof abadili avatar yake nasisimka mimi,
Naishia kuangalia mdomo tu alivyouweka anaoneka tarumbeta anaweza sana. So sina nafasi ya kuangalia sehemu ingine ili nimtambue ....au nika B. Spearsshemasi naona unachungulia tu!unaiona avator yangu?unaweza guess?
huyo anaitwa JENNIFFER GARNER,ni leading actress wa ile series ya ALIAS,kama unapenda mamovie.mtoto mtamu sana.kuna jamaa alikuwa anamtafuna hadi nikawa nazima dekiNaishia kuangalia mdomo tu alivyouweka anaoneka tarumbeta anaweza sana. So sina nafasi ya kuangalia sehemu ingine ili nimtambue ....au nika B. Spears