mfungwa
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 1,291
- 342
Jana jioni kwenye kivuko cha Meli ya Nyehunge, Nansio, askari police Traffic walikuwa kama watatu wakiangalia magari yakiingia na kutoka kwenye kivuko. Cha kushangaza ikaja gari kubwa ya mizigo inayoingia ndani ya meli. Gari hiyo inarudi nyuma nyuma. Kibaya HAINA SAITI MIRA HATA MOJA. Bali jicho la dreva tu. Wafanyakazi wa meli wanaiangalia ikiingia kuchukua vifaa kinyume nyume huku abiria wakitoka ndani ya meli.
Kazi ipo.
Kazi ipo.