hivi nyie wamama kwanini hampendi kujulikana kama mumezaa??

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Heshima yenu wakuu.

Mimi nmechunguza sana tabia za hawa wakina mama wa kitanzania, hawapendi kujulikana kama wamezaa. unakuta hata akitaka kutoka hawezi kubeba mwanae sana sana atambebesha housegirl huku akimtukana matusi na kumpiga juu..(tembea haraka alaa...).

Unakuta wiki nzima yupo kazini,hata zile siku anazokua nyumbani hataki kukaa na mwanae.

Mwingine unakuta hataki kumnyonyesha mtoto eti kisa matiti yake yatalala. so mtoto anashindia maziwa ya ng'ombe na kulalia maziwa ya ng'ombe. sijajua kwanini wanakuwa na roho za namna hii.

Mwingine una mtongoza, ukimuuliza una mtoto atakujibu sina mtoto wakati ana mtoto mkubwa tu. baadae ukishagundua ana mtoto ukimuuliza anajibu nlikuwa nakutania tu.
BADILIKENI BANA. Ni hayo tu, sahani kwa kukukwaza. Mia
 
Usi-generalize kana kwamba wamama wote wakitanzania hawapo proud kuzaa...ni baadhi tu wenye hiyo tabia!! Unapo generalize unakosea sana...

Wanaoficha kuwa wamezaa wanasababu zao...na si kati ya wale proud mothers,pengine mzazi mwenzake alimtelekeza au vinginevyo..
 
sio wote wako hivyo,kama kunyonyesha,nitanyonyesha,ziwa likiwa kandambili so what?nilivalia sidiria linasimama saa 6.mbona mtoto ni jambo jema.mbona na nyinyi wanaume mna uwongo wenu mwingi tu,au yenu hamyaoni?
 
Hv ni kwa nini pia wanaume waliooa hawapendi kuvaa pete za ndoa ? Wanawake hawapendi kuonekana wamezaa na wanaume hawapendi kuonekana wameoa. Hapo ngoma droo.
 
Reactions: Sal
Hv ni kwa nini pia wanaume waliooa hawapendi kuvaa pete za ndoa ? Wanawake hawapendi kuonekana wamezaa na wanaume hawapendi kuonekana wameoa. Hapo ngoma droo.

Kuna wengine hawavai kwa kuwa imani zao za kidini zinakataza kuvaa pete. Wengine hawavai kwa sababu ya kuwa allergic na metals.
 
wa huku uswazi kwetu mbona hawako hivyo?
 
Hapo kwenye "nilikuwa na kutania tu" ndo kichaka cha kujificha. Huo msemo siku hizi siupendi kabisa, anakwambia alikuwa anakutania kumbe alikuwa anakudanganya. Utani umekuwa si utani tena bali umegeuka kuwa uwongo, ila ili kupunguza makali wanauita ni "Utani". Utani gani huo?
 
Baadhi ya wanaume wanadanganya (ili tu wampate mwanamke maana wengine hua hawataki wanaume wenye watoto), baadhi ya wanawake nao wanadanganya ( woga wa kuwa judged, kutofurahia kuwa mama, woga wa kukosa mwanaume n.k) , na wengine hawajali kama utafurahia, utamjudge, utamkimbia au la, watoto wao ni fahari.

Kwahiyo acha kukusanya watu wote kweny kundi moja kana kwamba hawana tofauti.
 
hatupendi kujulikana kama tumezaa sababu akina baba wa taoto wamekana mimba, watoto na majukumu yao yote.
Na sisi tuna wakana watoto kwa wazazi wetu ili tuje mjini kubangaiza na kuwatumia japo huyo niliyemkana apate hata kikombe cha uji.
Mngekuwa hamtukani na sisi tusingewakana watoto wetu.
 
sasa wakati anavalisha mbele ya kadamnasi hiyo pete kwa nini hakukataa?
Sitanunua excuse hiyo.

Naelewa kuna baadhi ya madhehebu hawavai kabisa hao sawa sababu ni imani yao.

Kama hujazoes sijui mkufu na saa, sielewi maana pete sio mkufu wala saa.
Na wala huvai kama pambo, ni tulivalishana mbele ya kadamnasi kama ishara ya komitiment.

Kuna watu wao hawavai kwasababu hawapendi wala hawajazoea, hata saa na mikufu.
 
Nnaemjua mimi hakuivaa kwahiyo ni kitu walichokubaliana toka mwanzo. Just not his style.
 
Sio wote wanaoficha,kuna wengine wako open na huwa wanakua praud kwa kuwa na mtoto au watoto,na wale wanaoficha inawezekana anakua amempenda mwanaume na hataki kumpote kwa namna yoyote ndio anaona option ni kumficha hata hata akija kujua inakua washaoana na hili hata wanaume baadhi wanaficha badae ndio wanaleta watoto kwa wake zao!mia.
 
Kuna wengine hawavai kwa kuwa imani zao za kidini zinakataza kuvaa pete. Wengine hawavai kwa sababu ya kuwa allergic na metals.

hakuna cha iman wala allerg hapa c wangekataa toka church kwn imeandikwa wap pete ni lazima?ni umalaya ndio unaowasumbua hakuna kingine,tena midume kama hyo mishipa ya aibu imewakatika na kuwataka watoto wadogo,AIBU ZENU WOTE WAVUA PETE
 

wengi nlowaona wapo hivyo. hasa wa mjini. je wewe unaichukuliaje hiyo hali? nshaomba msamaha kwa wale itakayo wagusa direct. nia yangu ni kujadili hiki kizazi. Mia
 
Kimbia kabla wenyewe hawajaja!

hata wakija hawatanifanya kitu. hapa nimewashika pabaya hadi nguvu zimewaishia coz nlicho kiongea ndo ukweli wenyewe. yaani hapo ni machache tu. sijazungumzia usafi, mapishi na matamshi yao. yaani hapa ni sawa na kuwashika ugoni. kilicho baki hapa watajirekebisha. Mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…