hivi nyie wamama kwanini hampendi kujulikana kama mumezaa??

sijawahi kusikia mtu mwenye allergy na dhahabu au silver. nyie ndio wale wale, msotaka kujulikana mko committed.

Kuna wengine hawavai kwa kuwa imani zao za kidini zinakataza kuvaa pete. Wengine hawavai kwa sababu ya kuwa allergic na metals.
 
Aisay mambo ya kusema hawana watoto, hata wanaume wengine wanasema.

Hayo ya kunyonyesha ndo yananiwacha hoi, mtoto akimnyonya maziwa anasema yatangusha maziwa yake, lakini mme wake akiyanyonya wakati wana sex, hasemi vile.
 
hahaaa....!!!. hata wewe umeniacha hoi mkuu. Mia
 
sijawahi kusikia mtu mwenye allergy na dhahabu au silver. nyie ndio wale wale, msotaka kujulikana mko committed.

saa nyingine zile pete zinawasha. saa nyingine mtu ana nenepa kiasi kwamba ile pete ianakuwa inabana. so mtu anaamua kuiweka ndani hadi apate pete nyingine. si unajua pete ya ndoa lazima iombewe? hauwezi kuvaa pete hovyo hovyo. Mia
 
Umewaona wamama tu? Na nyie mnavyokana mimba zenu mnakuwa mnategemea nini? Na kwa taarifa yako mwanamke anayeujua uchungu hawezi kumkana mwanae hata siku moja.
 
mkuu sio muda utakimbizwa ICU kwa kichaopo kwa uzi huu mana nimepishana nao njiani wanakuja kwa hasira hukooo
 
mkuu sio muda utakimbizwa ICU kwa kichaopo kwa uzi huu mana nimepishana nao njiani wanakuja kwa hasira hukooo

waje tu. coz mimi bora nichukiwe kwa kuongea ukweli kuliko kupendwa kwa kuongea uongo. Mia
 
Ikiwa hawapendi hata kuonekana kama matiti yameanguka itakua wapende kuonekana wamezaa ? Ndiyo msinibishie hampendi ! Kama sio kweli Sidiria za nani ? Achilia kitu kwenye uasilia wake bwanaa.
 
Kumbe wapo w'ke wa aina hio enhee! Hii kali!
Mi najivunia sn kusema nna wtt wawili, 10 and 4.
Tena basi nkimuonesha mtu wtt wangu hata haamini.
Nna 35, lkn kila siku nabishiwa kuwa hio miaka sijaifikia, wanadhani labda nna 25-27.
Maziwa kuanguka wala hayanikeri, madhali mashine ya downstairs inafanyakai tn according na maelezo ya my honey ndo imezidi utam haswa.
 
Umewaona wamama tu? Na nyie mnavyokana mimba zenu mnakuwa mnategemea nini? Na kwa taarifa yako mwanamke anayeujua uchungu hawezi kumkana mwanae hata siku moja.

Sasa hapa sijui umejibu thread ipi,maana hujajibu hoja unaleta excuse!Wanaume kukataa ujauzito hakuhalalishi wanawake kukana kuwa hawajazaa,pia haya ni mambo mawili tofauti!
 
Maziwa hayaanguki wakati wa kunyonyesha, yanaanguka wakati wa kuzaa. Kama hukufanya mazoezi wakati wa mimba basi ukizaa expect maziwa yataanguka, unyonyeshe au usinyonyeshe!
 
Nini siri ya mafanikio yako?...hebu leta darasa..
 
anayesema/fanya hivyo anamalengo yake
wengine wanaona sifa ya pekee kujulikana kuwa na mtoto/watoto
wangapi hawajanyonyesha lakini matiti kama kanda mbili
 
Hv ni kwa nini pia wanaume waliooa hawapendi kuvaa pete za ndoa ? Wanawake hawapendi kuonekana wamezaa na wanaume hawapendi kuonekana wameoa. Hapo ngoma droo.

HAHAHAHAHAHAH! Duuh!
 
Umewaona wamama tu? Na nyie mnavyokana mimba zenu mnakuwa mnategemea nini? Na kwa taarifa yako mwanamke anayeujua uchungu hawezi kumkana mwanae hata siku moja.

vipi kuhusu kunyonyesha na kubeba watoto wao? Mia
 
Ikiwa hawapendi hata kuonekana kama matiti yameanguka itakua wapende kuonekana wamezaa ? Ndiyo msinibishie hampendi ! Kama sio kweli Sidiria za nani ? Achilia kitu kwenye uasilia wake bwanaa.

duh..!! mkuu umeua. sidria nafakili ni mavazi ya ndani ya mwanamke. lakini kuna mama fulani rafiki yangu, sasa hivi ana miaka 35 lakini hajawahi kuvaa sidria hata siku moja na ziwa bado saa nane. Mia
 
Katika comment zako zote tangu umeingia Jf leo umeongea Point kuliko zote! (source maoni yangu! ) Sema umesahau kututonya kua nae honey wako nae utamu wake kwako una' add ? Au una' mines ?
 
Nina watoto wawili wazuri ila ukiniona utasema sina hata mmoja kwa jinsi ninavyo jikeep, huwa naona ufahari sana kutembea na wanangu na kuwaambia watu kuwa mimi ni mama wa wawili na nafurahi zaidi pale wanapobisha kuwa siwezi kuwa na mtoto hata mmoja.
 
vipi kuhusu kunyonyesha na kubeba watoto wao? Mia

Kunyonya ni haki ya mtoto siwezi kukataa kumnyonyesha mwanangu eti matiti yataanguka kwan hata yakianguka nitavaa sidiria na nitaonekana smart, na khs swala la kubeba mtoto mi binafsi siwezi kataa kumbeba mwanangu lbd naweza muacha na bhnti endapo nitakuwa na kazi ya muhimu ambayo nikiwa na mtoto ntashidwa kuifanya au atanichelewesha
 
Sio wote wanao ficha mie wa kwanza ntakwambia kama nna watoto tena nawaongeza ili ukimbie,nasikia rafaja sana kua MAMA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…