Huyo dada lazima atakuwa na tabia mbaya kwa mumewe, kama vile lugha mbaya au wakati ananunua hilo gari, mume alimtaka asinunue kwa kuhofia kushindwa kulihudumia, lakini mama alilazimisha! Ndo maana anamwambia kama uliweza kununua gari, utashindwaje mafuta? Kama anamkomoa vile baada ya kutosikiliza ushauri wake wakati wa kununua hilo gari!