Hivi nyie wanawake mtaolewa na nani!?

....There is an estimated 20 million Chinese males who can not find female partners. This is a lot of testosterone for one country and the probability of civil war is very high – 20 million horny men! Naturally they have to diversify. No harm though!...
 
Kwanza huwa sisomi sana thread za Lizzy kwa sababu nyingi zimejaa nadharia za kufikirika. Tatizo wewe unazungumzia kitu ambacho in reality hakiwezi ku-exist. hebu angalia uhalisia. wanawake wanao wakati mgumu sana linapokuja swala la kutaka kuolewa, huo ndio ukweli. Mtabisha hapa, lakini ukweli utabaki kuwa huo. zamani wengi walikuwa wanaamini kuwa ndoa za mitala ni huko vijijini, lakini siku hizi hata mijini ndoa za mitala zipo lakini zimekuja kwa staili ya aina yake, wenyewe wanaita nyumba ndogo, na wanawake wengi wamekuwa wakiingia katika uhusiano wa aina hii kwa sababu wanaweza kuwa na uhusiano wa aina hiyo na wanaume hata watatu, wanachofanya ni timing tu Na wanaume wenye ndoa zao hususan wale wa ile dini isiyoruhusu ndoa za mitala ndio wanaoangukia katika staili hii mpya ya uhusiano na wanawake wengi. haihitaji kutumia akili ya watengeneza Compyuta kulitambua hilo!
 

na ndio maana kuna mashoga wengi wa kichina!
 

Nadhani mimi na wewe are not in the same page kwenye kuelewa the meaning of a real woman and a real man..
Angalia hao wanaostick to men wanaowafanyia visa ni wanawake wa aina gani(naongelea ambaye ananyamaza tu kwa kila baya)mara nyingi hajitambui(regardless the social status..and ogopa sana mwanamke anakunyamzia tu kwa kila baya ufanyalo as if nothing happend(you will pay dearly)..
Pia mwanaume kung'ang'aniwa na wanawake isikufanye ujione kidume,there are two things involved,either you are too good or too stupid and most likely the latter.
Refer to lizzy's threads za mwanaume na mwanamke wa kweli..hapo kwenye bold maana kwakweli umenifanya niwe speechless,ati men dont have time to work on their marriages(so lame)..sema WEWE huna muda.
Namalizia tu kwa kusema,equlibrium ya Mungu itakua palepale regardless machafuko ya hii dunia,.
 
and again,pale unapoona kwako ni kitu cha kufikirika,to some it is possible..ni kama mwenye hela na asie nazo,to some kitu kinaeza kuwa reality and others a dream..
 

Ok my dear Tracy, now follow the list-
Ni nani anayeposa?
Ni nani anayelipa mahari?
Ni nani anayeoa?
Ni nani anayeambiwa kuwa ndiye kichwa cha nyumba?
Ni nani mwenye kuamua kama ndoa hii iwe au isiwe?
 
Ok my dear Tracy, now follow the list-
Ni nani anayeposa?
Ni nani anayelipa mahari?
Ni nani anayeoa?
Ni nani anayeambiwa kuwa ndiye kichwa cha nyumba?
Ni nani mwenye kuamua kama ndoa hii iwe au isiwe?

My dear!umeenda kote ila umesahau the initial steps,WHO GETS TO SAY YES TO START THE RELATIONSHIP AND MARRIAGE PROPOSAL?..hapo ndo utajua tofauti ya makundi ya wanawake..coz hata kuwe na utandawazi vipi,percentage ya wanawake kufwatwa ni kubwa,so we hav the power to who we go out with,ila wale unaowaongelea,hawajui!
 
Kwan hamna wanawake wanaokufa utotoni, ambao wako shule hawana umr wa kuolewa, wanawake wazee, wanaofarik ukubwani, wanaosagana! Kwan wanaume ni tz tu? Vp nch nyngne? vp wasiopenda kuolewa? RUDI SHULE A.K.A BACK TO XUL..AM OUT
 
Pia 2 find a woman to marry nowadays is hard and to find a man to mary is also hard, my two brotherz were prayin to God night and day to get a real wife to mary cz weng wetu cku izi ni wizi mtupu.
 
Another thng wanawake 2napenda mwanaume mwenye uwezo kifedha, weng wenu hamna mbele wala nyuma ndo mlojaa mijini.
 
Another thng wanawake 2napenda mwanaume mwenye uwezo kifedha, weng wenu hamna mbele wala nyuma ndo mlojaa mijini.

bora wewe umekuwa muwazi wanawake wa sku iz jinsi mlivyo..na tusipowaoa msilielie basi.
 
Ok my dear Tracy, now follow the list-
Ni nani anayeposa?
Ni nani anayelipa mahari?
Ni nani anayeoa?
Ni nani anayeambiwa kuwa ndiye kichwa cha nyumba?
Ni nani mwenye kuamua kama ndoa hii iwe au isiwe?

My dear, unaongelea karne ipi ati?? Enzi za mwalimu au?
 

Kama huwa husomi threads za Lizzy, umejuaje kama ni za kufikirika?? Alafu kuwa reasonable katika arguments zako, unawaambia watu kwamba 'mtabisha' maanake nini sasa? Watu wasipinge ila wakubaliane na mawazo yako tu na wakusupport kwa kila ulichandika sio?? Siku nyingine ukikosa hoja, unakula pumzi kwanza ndo unapata neno la kufix.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…