Kama huwa husomi threads za Lizzy, umejuaje kama ni za kufikirika?? Alafu kuwa reasonable katika arguments zako, unawaambia watu kwamba 'mtabisha' maanake nini sasa? Watu wasipinge ila wakubaliane na mawazo yako tu na wakusupport kwa kila ulichandika sio?? Siku nyingine ukikosa hoja, unakula pumzi kwanza ndo unapata neno la kufix.....
Na kwa wanamke wanaooa?
na ndio maana kuna mashoga wengi wa kichina!
....There is an estimated 20 million Chinese males who can not find female partners. This is a lot of testosterone for one country and the propobality of civil war is very high 20 million horny men! Naturally they have to diversify. No harm though!...
Nimeipendaje!
Wanaume wengine watata sana.Hawajiulizi inakuwaje wanawake walioolewa bado wanamendewa? Haya mambo ya kuoa au kuolewa hayana fomula maalum ni mambo ya moyoni zaidi.Mtoa mada kama unahofia dada zako au binti zako hawajaolewa..pole.