Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Nimeamini kumbe wajinga ni wengi sana aisee na wala hauwezi kuona watu wanaojielewa wapo thread za kubishania dini na huu ndiyo mtaji mkubwa wa wanasiasa uchwara kwa sababu watu wanaojielewa wapo bize na constructive topic na sio hizi mada za kujimbwafai kwamba dini fulani ni mbaya na dini nyingine ni mzuri hauwezi kuona mtu kama@mshana na mtu kama Erythrocyte wapo kwenye mada za kijinga za kubishania dini
Masikini pekee ndiyo utawakuta wanabishania dini humu na sijui mnapata faida gani sijui na matajiri hawana muda kubishania dini wana muda kutafuta pesa ukiona wewe upo bize kubishania dini wewe ni masikini and my friend you will still be poor men!! CCM ina mtaji mkubwa sana na mtaendelea kuwa punching bag m....B....w....a....nyie