Hivi Nyie Wenye Id Za kike Mnachotutafuta nini Hasa?

Hao hawana tofauti na huyu
cbf97db902d0ad2d72ab1969923ed98b.jpg
 
Katika Katabia ambacho si kapendi Ni Haka kwa Baadhi ya Member wa Kiume humu Kutumia Id Za kike ...

Ebu Mtueleze kwanza Lengo Lenu Hasa ni Nini kwanii?

Hivi mnatofauti gani na kina kaoge ?
maana naona ndo mnakoelekea sasa Huku....
wataje tuwajue

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Katika Katabia ambacho si kapendi Ni Haka kwa Baadhi ya Member wa Kiume humu Kutumia Id Za kike ...

Ebu Mtueleze kwanza Lengo Lenu Hasa ni Nini kwanii?

Hivi mnatofauti gani na kina kaoge ?
maana naona ndo mnakoelekea sasa Huku....

ID ya kike means mwanamke sema nayo tu
 
Back
Top Bottom