Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
wataje tuwajueKatika Katabia ambacho si kapendi Ni Haka kwa Baadhi ya Member wa Kiume humu Kutumia Id Za kike ...
Ebu Mtueleze kwanza Lengo Lenu Hasa ni Nini kwanii?
Hivi mnatofauti gani na kina kaoge ?
maana naona ndo mnakoelekea sasa Huku....
Sana kabisaaaaaHao hawana tofauti na huyu
Wanajijua mkuu ,we subiri watakuja tuwataje tuwajue
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Na watakuja maana mmechoka wanavyotia degedege la ukubwaniNgoja waje
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nitawataja wote nawajua vzuri sana
hahahahaWanatangaza biashara ya kuzibuliwa mitaro ya maji machafu ...
Katika Katabia ambacho si kapendi Ni Haka kwa Baadhi ya Member wa Kiume humu Kutumia Id Za kike ...
Ebu Mtueleze kwanza Lengo Lenu Hasa ni Nini kwanii?
Hivi mnatofauti gani na kina kaoge ?
maana naona ndo mnakoelekea sasa Huku....
Tatizo wengine tuogopa hayo madhambi ya kina kaogeID ya kike means mwanamke sema nayo tu
Hahahaha[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]Hebu nikumbushe ule wimbo wa ladyjay dee na mwana FA utaelewa kwa nini wanaume wanataka kuwa kama wanawake
DaahHao hawana tofauti na huyu