Hata Kenya kuna kipindi hicho kwenye radio moja sijui inaitwa Maisha (Sina hakika sana na jina)
Ila unachofanya kama jamaa anakucheat unaenda pale unawaelezea wao wanatunga story halafu
wanamrusha jamaa live kunakuwa na msichana anatumiwa anaongea na jamaa wakishafikia
muafaka Maza hausi ndo unaingia huwa ni balaa!! Kuna moja niliwahi sikiliza jamaa kakana eti hana mke anataka
kudate na huyo msichana ilikuwa sokomoko ile mbaya,
nyingine jamaa alikuwa anatafuta mtoto wa kiume akazaa nje akabisha wakamtungia story ya
ofisi eti wanataka majina ya beneficiaries wake wa pension jamaa likamtaja mtoto wa kiume ndo mrithi
na ni wa nje wakati home linakataa jamani huwa ni so hicho kipindi,
kuna nyingine bosi na secretary wake jamaa home anabisha wakaunda story maza hausi kampigia huyo
je unamahusiano na fulani msichana kagoma tena kwa nguvu zote
maza hausi kasema kuwa mie ni mke wa fulani na tunaishi na HIV/AIDS na tunatumia ARV
hivyo nakushauri uachane na huyo msichana kajikuta anasema my God nimekwisha ikabidi aseme
kila kitu kuwa uwiiii nimekwisha sijawahi tumia condom hii radio ni balaa acheni watu wanaumbukaga humo