Nikiangaalia news Leo naibu wa wizara ya habari na michezo amewakabidhi wanariadha watatu waliofuzu kushiriki Olympics, Je hatuna michezo mingine inayotuwakilisha mwaka huu?
Kwa upande wa nchi jirani ya Kenya riadha waliofuzu ni 43 kwa riadha pekee tu huku wakipeleka timu zingine za michezo Kama za Rugby, volleyball, basketball etc.
Najiuliza tatizo liko wapi bongo? Taifa linakosa uwakilishi michezo mingine kama ngumi etc?
View attachment 1850504View attachment 1850505
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app