Kipindi flani binafsi nimewahi kia mtumishi wa uma, mshahara kipindi hicho ulikua kiduchu Sana ,Kama miaka 15 iliyopita, sikupenda, hasa nilipoangalia wenzangu waliopo nje ya mfumo ,wafanyakazi wa mawizarani na tahasisi mbali mbali hasa wa chini kabisa Kama wafuagiaji, na n.k nilifanya mahamuzi ya kuwachia KAZI yao japo Kuna kipindi mwaka flan Kuna mradi niliusimamia KWA vigezo vyote ila pamoja na ushawishi wa rushwa ili kuchakachua haikuwezekana ,na nilipata Cheti Safi chini ya usimamizi huo , TOKA serikalin maana fedha zile japo zilikuwa za wafadhili but zilisimamiwa na serikali, kamati ya bunge hesabu za serikali akiwemo slaa nilikutana nayo Kipindi hicho.
So nilienda sehem wanaojua nini maana ya mtumishi kutuka, na Nina faraja huko siwezi Rudi tena may be pawepo na sababu
Hivyo binafsi nasema KWA watumishi wa serikali walivyo chakazwa na serikali ya mwenda zake, inatisha hasa watumishi wa chini , hivyo Kama ni kuwaongezea mshahara kwaza kiongezwe kiasi flan kuanzia laki mbili na kuendelea na bila Makato itawasaidia wakati serikali inajipanga kutoongeza labda katika kipindi hichi Cha miaka minne ,watumishi wamedhalilika Sana, then check madaraja yao.
vinginevyo itakua danganya toto, Rais au tahasisi za juu ili wafanikishe lazima watendaji huku chini WAFANYE KAZI nzuri ,KWA mwendazake aliona hao acha wajifie,kila siku vitisho that's wenda mpaka Sasa data za serikali ilizonazo tangu 2015 ni feki ,watu walifanya bora liende, huku yeye na wapambe wake wakila filigisi za tahusi, maisha Kama yote ya pepon
🤣🤣🤣, Mama haongezi chochote! Hivo kaa mguu sawa.