Hivi pale kwa Mkapa ramani ndiyo ilikuwa hivyo ama tulipigwa?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Huu uwanja ni mzuri sana lakini kila nikiuangalia kwa nje ninaona haukukamilika na huenda pesa nyingi sana zilipigwa na wahuni.

Kama ndivyo ulitakiwa kuwa basi waliochora ramani ni wanafunzi wa vyuo vya hapa kwetu, maana naona kama tatizo litakuwa kichwani kama ilivyo kwa wananchi wengi ambao hawajawahi kuona dosari yoyote.
 
Kuna indoor facilities ikiwepo indoor arena nadhani hawakumalizia + Parking...
 
Hela walitoa wachina na walijenga wao! Na uwanja umeanza harakati 2004,miaka 20 iliyopita,ni model ya zamani
 
Inasemekana hata miundombinu ya camera haijawekwa vizuri kwa ajili ya kurecords matches.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…