Hivi pale kwenye TAKO kuna formula gani???

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Kiukweli wajomba..me mwenyewe mjomba wenu,nundu(tako) hazijawahi niacha salama aisee... imefika kipindi naweza acha njia na kuanza kuifwata INYEE, maskini wanawake mnatupeleka kubaya. Imagine..
1.maada asilimia kubwa humu ni TAKO
2.MAOFFICE yote sector nyeti wana TAKO(ref.awamu ya nne)
Yaani haliwezi katiza kalio mbele yangu nisigeuke..nikijitahidi kuji ng'ang'aniza nisigeuke basi shingo inauma balaa..
Halafuuu WHY kila mtu now days nikipishana nae anatakoooo?? [emoji134] Mbona awali hayakuwepo shazi namna hii?? Nini kimewekwa pale kwenye zile nyama jamanii?? Dah nafsi yangu mieeee...[emoji22] [emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kajifunze kwanza maana ya neno MVUTO! Ukishaelewa maana yake rejea hapa tuendelee kudadavua kwa nini uvutike na taokoo!
 
Hivi zaman walikuwa wanavutiwa na nini hasa tofauti na tako? Mfano wachina hawana Chura ila still wanapambna na hali zao

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…