Daah 25?? si mbaya PASI ilimpata DOBI.. si wajua dobi habagui pasiKbs nimepigwa pasi ya maana, hata hivyo na mshukuru mungu hta mma yangu hakuwa nalo but yupo kwenye ndoa yke sasa 25 yrs
[emoji26] [emoji26] [emoji26] mapenzi siyo tako, siyo sura, siyo pasi, siyo shepu,Daah 25?? si mbaya PASI ilimpata DOBI.. si wajua dobi habagui pasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahaha vimbao mbao waende wapi sasa jamaniiMe mwenyewe mgeni mkuu.. basi tu kimbaumbau hata uwe mzuri vipi hawezi nishawishi..bt kwenye inye nakua kama DUME LA NYANI ..hata show zake hua hazina refa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, mama natambua haya yote[emoji26] [emoji26] [emoji26] mapenzi siyo tako, siyo sura, siyo pasi, siyo shepu,
Kikubwa upendo hayo mengine ziada tu.
Oky vizyri
Sema fresh..wanaume wanene wanapenda vimodal(japo nashangaa wanawaridhisha vipi wakati nasikia vimodal wamejaaliwa ikulu zao) . Na sisi wenye miili ya kati .. mizigo inatuhusu
We sio mimi.. nyumba inatakiwa ijae..sio ipwaye...hata nikiwa juu yake i feel like ooh yeeah.. sasa vimodal mnasuguana mifupa tu.. after mechi unaanza kuzisaka dicloperhalafu nyie ndio mnaokujaga kuoa mapasi tena ya mkaa
Unachapia asubuhi yote hii?? Au umekunywa uji wa mchele nn[emoji5] [emoji5]Oky vizyri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekula kiporo, nadhani shughuli yke unaijua[emoji12]Unachapia asubuhi yote hii?? Au umekunywa uji wa mchele nn[emoji5] [emoji5]
Sent using Jamii Forums mobile app
We sio mimi.. nyumba inatakiwa ijae..sio ipwaye...hata nikiwa juu yake i feel like ooh yeeah.. sasa vimodal mnasuguana mifupa tu.. after mechi unaanza kuzisaka dicloper
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni aina ya ugonjwa wa akili,anahitaji medical attention,maana inaonekana hata mzazi wake,dada zake anaweza kuwafanyia chochote!
Hee[emoji4] sio yale mkuu...yale tooo much...kitu flani kama 8Mkuu nyama tamu iliokaribu na mfupa[emoji3] we unayamaind yenye manyama uzembe ukilona ki ubavuni utafkiri madroo ya meza [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha bange mkuuNi aina ya ugonjwa wa akili,anahitaji medical attention,maana inaonekana hata mzazi wake,dada zake anaweza kuwafanyia chochote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo namba 2 umechemshaKuna vitu mpaka Leo bado sijajua vina connection gani na mwanadamu...
1. Tako na wanaume
2. Ubwabwa na waislamu
3. PombE na mlevi..
Kiukweli wajomba..me mwenyewe mjomba wenu,nundu(tako) hazijawahi niacha salama aisee... imefika kipindi naweza acha njia na kuanza kuifwata INYEE, maskini wanawake mnatupeleka kubaya. Imagine..
1.maada asilimia kubwa humu ni TAKO
2.MAOFFICE yote sector nyeti wana TAKO(ref.awamu ya nne)
Yaani haliwezi katiza kalio mbele yangu nisigeuke..nikijitahidi kuji ng'ang'aniza nisigeuke basi shingo inauma balaa..
Halafuuu WHY kila mtu now days nikipishana nae anatakoooo?? [emoji134] Mbona awali hayakuwepo shazi namna hii?? Nini kimewekwa pale kwenye zile nyama jamanii?? Dah nafsi yangu mieeee...[emoji22] [emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahhahahahahaaWe sio mimi.. nyumba inatakiwa ijae..sio ipwaye...hata nikiwa juu yake i feel like ooh yeeah.. sasa vimodal mnasuguana mifupa tu.. after mechi unaanza kuzisaka dicloper
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] eti wamejaliwa ikul zao jamanii weweSema fresh..wanaume wanene wanapenda vimodal(japo nashangaa wanawaridhisha vipi wakati nasikia vimodal wamejaaliwa ikulu zao) . Na sisi wenye miili ya kati .. mizigo inatuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hajachemsha ni sahihi kabisa..na ndizi+pilipili kwa mfuko wa kanzu
kapicha jomba!Kiukweli wajomba..me mwenyewe mjomba wenu,nundu(tako) hazijawahi niacha salama aisee... imefika kipindi naweza acha njia na kuanza kuifwata INYEE, maskini wanawake mnatupeleka kubaya. Imagine..
1.maada asilimia kubwa humu ni TAKO
2.MAOFFICE yote sector nyeti wana TAKO(ref.awamu ya nne)
Yaani haliwezi katiza kalio mbele yangu nisigeuke..nikijitahidi kuji ng'ang'aniza nisigeuke basi shingo inauma balaa..
Halafuuu WHY kila mtu now days nikipishana nae anatakoooo?? [emoji134] Mbona awali hayakuwepo shazi namna hii?? Nini kimewekwa pale kwenye zile nyama jamanii?? Dah nafsi yangu mieeee...[emoji22] [emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app