Flat screen
Mimi nimekuwa nikikutaka kwa mda mrefu nikifikiri chura ipo!![emoji15] [emoji15] [emoji15]Flat screen
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bro.. kamatia goma hiloMimi nimekuwa nikikutaka kwa mda mrefu nikifikiri chura ipo!![emoji15] [emoji15] [emoji15]
Pole sana ila watuma maombi wengiii sijui hawaoni mavyura huko?Mimi nimekuwa nikikutaka kwa mda mrefu nikifikiri chura ipo!![emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ila sio siri jamani huko Dar kuna wanaume wamebarikiwa yaani wameumbika vizuri nyuma kuliko hata dada zao..! kwa mfano yule "naniliu" ana msambwanda" wa hatari kumzidi hata "Mimacho yangu"
Hahaha...Kuna vitu mpaka Leo bado sijajua vina connection gani na mwanadamu...
1. Tako na wanaume
2. Ubwabwa na waislamu
3. PombE na mlevi..
Hatuwezi hata kupachika hapo mchina jamani?[emoji53][emoji53][emoji53]Pole sana ila watuma maombi wengiii sijui hawaoni mavyura huko?
Wewe pita hivi ukasake vyura😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Siku ukipata [HASHTAG]#ukimwi[/HASHTAG] tako utaliona Kama kituo cha polisi
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
wenye akili tumekuelewa. [emoji2] [emoji2][emoji26] [emoji26] [emoji26] mapenzi siyo tako, siyo sura, siyo pasi, siyo shepu,
Kikubwa upendo hayo mengine ziada tu.
Kuelewa na kutokuelewa ni juu yko!!wenye akili tumekuelewa. [emoji2] [emoji2]
Najua wako kapigwa pasi ya mkaa..sasa muulize mkaya wako alimpendea nn pia[emoji4] [emoji4] thn tuleteane mrejeshoHivi ukimcheki vizuri mamaako naye ana tako? Kama lipo muulize babaako kwa nini alimchagua na tako lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Tako ni ujinga????Akili imeishia kwebye tako. Fanya kazi dogo acha kufikiria ujinga.
Wa kwangu hana matako ila ana mapaja manene! hata hivyo my consideration to pick her was not her figure perse, but her spirit. Over.Najua wako kapigwa pasi ya mkaa..sasa muulize mkaya wako alimpendea nn pia[emoji4] [emoji4] thn tuleteane mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba niwatembelee wikienda ninyi wapendanao.. hua napendelea dry foods tafadhali na pilipili msisahau