Molleli
Senior Member
- Aug 29, 2020
- 185
- 165
Kwa wanaojua ningependa kufafanuliwa kuhusu hii Mada maana tumebishana Sana na Wana mbeya wenzangu ambao hata pantoni hatujawahi kupanda🤣🤣 kwa upande wangu niliwajibu kuwa pantoni ni Meli basi kila mtu akawa anasema lake.....
Ufafanuzi kwa wanaofahamu pantoni ni nini jamani nipate kuwaeleimisha Hawa wananzengo wenzangu.
Ufafanuzi kwa wanaofahamu pantoni ni nini jamani nipate kuwaeleimisha Hawa wananzengo wenzangu.