Hivi pantoni ni Meli au si meli?

Pantoni ndio Ferry nadhani, yaani kivuko kinachovusha vitu na watu kutoka ng'ambo moja kwenda nyingine kwa umbali mfupi..

Mfano wa Pantoni waweza enda jionea pale DSM, MV Magogoni na kanda ya ziwa pale Kigongo Ferry na Busisi kuna MV Misungwi, MV Sengerema na MV Mwanza au kule Kamanga Ferry...
 
Hivi bajaj ni pikipiki au ni gari
 
Kanda ya ziwa wako vizuri mno, hususan Mwanza.

Dar n.k bado kuna washamba wengi mno, poleni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…