Hivi Papa hawezi kutengua uteuzi wa kadinali wakizinguana au akiona hampi ushirikiano?

Hivi Papa hawezi kutengua uteuzi wa kadinali wakizinguana au akiona hampi ushirikiano?

Mkungunero

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2023
Posts
401
Reaction score
569
Mumbe hauawi na kuuliza si ujinga.

Hii position imekaa kisiasa na siasani Kuna kutengua na kuchagua.

Ambaye hatenguliwi ni padre tu na ndo Huwa hastaafu lakini askofu na kadinali anastafu.

Sasa kama anastafu kwa Nini akizingua asitenguliee abaki na upadre au uaskofu wake tu?

Au atengliwe vyote uaskofu na ukadinali ili abaki na upadre tu.
 
Haya maswali kwanini msiende kuulizana huko kanisani kwenu badala ya kutujazia upuuzi humu
 
Back
Top Bottom