Nicksoni Audax
Member
- Dec 27, 2020
- 6
- 10
nisaidieni hapo wakuu nielewe PCM ambapo ufaulu ni CDC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibongo bongo ni kweliSema nimekuja kujua kuwa PCM is better than PCB
sema nimeelewa ushauri wenu asanteMwana kasomee masuala ya electronics engineering, statistics au acturial science utakuja kunishukuru ...kasomee vitu ambavyo havitakuja kukupa tabu kupata kazi
Achana na hizo actuarial mkuu kapambane na engineering jasa civil, mech na electricalsema nimeelewa ushauri wenu asante
Hahahah!!!! Atasugua sana bench na course hizoAchana na hizo actuarial mkuu kapambane na engineering jasa civil, mech na electrical
PCM engineers wapo weng sana hata hivyo, imeanza kupoteza sifa kwenye soko la ajira, angalau PCB koz za afyaSema nimekuja kujua kuwa PCM is better than PCB
Basi mshaurini akasome BSC in mathematics with education ili awe mwalimu. I hope ajira za serikalini ba hata private hawezi kukosa na huko mbele atajiongeza.Dogo mimi nilisoma PCM, sasa ni engineer.
Nakushuri soma BAF, badae uje upige CPA.
Uje unishukuru.