Hujawahi kuvaa kabisa?Hahahaha yani hizo niliziona nikiwa mdogo kwenye matangazo nasikia zinaumiza zikivaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana lakini nilizionaHujawahi kuvaa kabisa?
Sijawahi kuziona live so sijui mkuuHapana mkuu pepeta za kike.
Nijuze kama taarifa unazo.
Zile kwa umbo linaloingia haviendani mazingira korofi. inazama nakupotelea huko.
Inakinga hukutani na ngozi ni kama za kiume. Haziko maarufu kama za kiumeAfadhali umekuja hapa.
Kiafya inashauriwaje?? Upande mmoja ndiyo kinga ina kinga?
Thank u.View attachment 1030451
Female condom
Maumbile ya kike yako kwa ndani si rahisi kama maumbile ya kiume yalivyo kwa nje.Sababu ni ipi?
Utumiaji wake mgumu?
Wanawake hawapendi na hawafanyi ngono zembe?