Hivi pepeta zimeenda wapi.

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Naona jukumu la kuvaa kondomu tumeachiwa wanaume tu. Pepeta nyie mnaziona kwa wapenzi wenu wakuu kama tunavyotembea na zetu sie wanaume??
 
Naona jukumu la kuvaa kondomu tumeachiwa wanaume tu. Pepeta nyie mnaziona kwa wapenzi wenu wakuu kama tunavyotembea na zetu sie wanaume??
Dah zilikuwa zinatangazwa kama matangazo ya kifo RTD... Daily kutwa mara 3... In fact ile ilikuwa sera ya JK... Kwasasa tunahimizwa kufyatua hivyo automatically lady pepeta zinakufwa kifwo cha mbendembende

Jr[emoji769]
 
Maana umesema pepeta nkajua yale mabaki ya mpunga kumbe ni LADY PEPETA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…