Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Mtoto anasogeleaje vitu vya wakubwa! Ukimuwekea mikatuni huko sebleni anatulia tuli!Sasa home utabeba glass ya tungi ama utamzuia mtoto asijeangusha chupa yako
Nyumbani sio bar na bar sio nyumbaniWalevi naombemi majibu bila makasiriko maana wapiga bapa huwa hawapendi kuitwa walevi
Hivi pombe za kunywea nyumbani huwa hazipandi mpk utoke uiache familia ukazungukwe na bar maids na kundi la walevi ndo mzuka unapanda ?
Dooh kumbe ndo sababuSasa home utabeba glass ya tungi ama utamzuia mtoto asijeangusha chupa yako
Sawa nitazingatia ushauriPombe ni pombe tu.... mentality nyingine ni za kijinga !
Kunywa kistarabu mkuu
π Hapo nimeelewa kumbe mtoko unafaida yakeNyumbani sio bar na bar sio nyumbani
Utamuita nani sasa akusikikize
Utahudumiwa na nano
Utamuomba nani bili
Utamuachia nani 'keep change'
Utamuoshea nani macho...π
Kumbe watu wanatoka ili kupata utulivu kuepuka ghasiaMtoto anasogeleaje vitu vya wakubwa! Ukimuwekea mikatuni huko sebleni anatukia tuli!
Nahisi lounge kuna kuwa na vibe.. ambalo home hupati unless mkeo na wewe mtengeze mazingira ya hivyo home gambe linanoga mkeo anavaa kama barmaid na mdada wa kazi nae anapiga kama barmaid mbona kinawaka..Walevi naombemi majibu bila makasiriko maana wapiga bapa huwa hawapendi kuitwa walevi
Hivi pombe za kunywea nyumbani huwa hazipandi mpk utoke uiache familia ukazungukwe na bar maids na kundi la walevi ndo mzuka unapanda ?
Pombe za kunywea ndani naona natakiwa niziache sasa huwa najitusua sana kuliko nikienda barπ
Sasa mzuka ukipanda si unaweza mpapasa matako beki tatu .Nahisi lounge kuna kuwa na vibe.. ambalo home hupati unless mkeo na wewe mtengeze mazingira ya hivyo home gambe linanoga mkeo anavaa kama barmaid na mdada wa kazi nae anapiga kama barmaid mbona kinawaka..
Soga kama zote zinaleta mzukaPombe na mpira nyumbani huwa havipandi kbsa.
Ukitaka kujua utamu wa pombe ama mpira nenda sehemu yenye watu wengi aidha bar ama kibanda umiza π
Kuna wale ukisogeza mguu naye yupo nawe 1yMtoto anasogeleaje vitu vya wakubwa! Ukimuwekea mikatuni huko sebleni anatukia tuli!
Walevi naombemi majibu bila makasiriko maana wapiga bapa huwa hawapendi kuitwa walevi
Hivi pombe za kunywea nyumbani huwa hazipandi mpk utoke uiache familia ukazungukwe na bar maids na kundi la walevi ndo mzuka unapanda ?
Utaanzisha vita hapo nyumbaniNahisi lounge kuna kuwa na vibe.. ambalo home hupati unless mkeo na wewe mtengeze mazingira ya hivyo home gambe linanoga mkeo anavaa kama barmaid na mdada wa kazi nae anapiga kama barmaid mbona kinawaka..
Umewai kulea hata mtoto wa dadaako? Maana waropokwa tuu pengine huna uzoefu.Mtoto anasogeleaje vitu vya wakubwa! Ukimuwekea mikatuni huko sebleni anatulia tuli!