Oohh hapo nimekupata vizuri shem, vipi upande wa pili haya mambo pia yapo au ni kwa me tu?mfano mm. Mara nying weekend siend bar mwenyewe. Natafuta kampan ya Washkaj.
Hata wakiwa Sinza nawafuata.
Mnakaa na kuna mastory tu yatapita , na kama una ishu labda unataka ABC zake na hujui unaanzia wap au umekwama sehem. Bas kwenye round table hii utaongea sasa.
Wana wa bia ni rahisi kukupambania kwa kutafuta solution kwa washkaz zao .
Kwahiyo wana wa wana wanakuwa wana wako kiaina. Ile recomendation kuwa namba yako kanipa flan. Na nina ishu ABC. Tunafanyaje. Ina nguvu sana .
Ungekufa!π€£Unakumbuka ili siku niliugua kabisaπ
Una hatariMimi ili nijihsi nakunywa pombe lazima nipige mayowe,nijimwagie pombe kichwani,niwe na kitimoto pembeni na nimdandie dadapoa.
Oohh hapo nimekupata vizuri shem, vipi uoande wa pili haya mambo pia yapo au ni kwa me tu?
Hapo nimekuelewa shem! Week hii fanya uje na michongo sitaki kutoka kapaπIshu ni kupata marafik sahihi.
Kwa wanawake ipo sema sio kibar zaid. Ni yale magroup ya kina mama au shule au ya mtaa nk.
Sukari ilishuka nikawa na tetemeka supu nilikua naiona kama sumuπUngekufa!π€£
Aisee unawajua watoto wa mwaka 1.5,2,3 walivyo?Mtoto anasogeleaje vitu vya wakubwa! Ukimuwekea mikatuni huko sebleni anatulia tuli!
Cha ajabu hukomi! Siku chache baadae uko na chupa zako kadhaa..Sukari ilishuka nikawa na tetemeka supu nilikua naiona kama sumuπ
Sasa kulewa una watoto wadogo sana sio sahihi!Aisee unawajua watoto wa mwaka 1.5,2,3 walivyo?
Ndio maana ni bora kwenda bar kama una familia.Sasa kulewa una watoto wadogo sana sio sahihi!
Labda kwa wanaume au couple ila sio wanawake!Ndio maana ni bora kwenda bar kama una familia.
usisasahau kupita kabagho liqour pale sinza mapambano, utanikuta hapo bruh π πtaste ya bia za bar ni nzur zaid . ππππ
Home labda muwe wawili tu na mpenz wako. Na yeye apombeke.
yaan unakunywa zako bia alaf watoto wameweka katuni.
hainogi kwakweli
Ijumaa bro ntakutag ππππ.usisasahau kupita kabagho liqour pale sinza mapambano, utanikuta hapo bruh π π
Hahaha, tatizo nikisha toka kazini nakosa cha kufanya πCha ajabu hukomi! Siku chache baadae uko na chupa zako kadhaa..
Si ushinde jf kama sisi tuπHahaha, tatizo nikisha toka kazini nakosa cha kufanya π
Yani unalichomoa wallet kwa fujo kutoka mfuko wa nyuma.Hio kali kwahiyo unataka pochi ikauke
Ili mseme tunasumbuaPombe ni pombe.. testi ni ile ile.. waache kujiendekeza. Kama ni mziki wawashe radio nyumbani..
ipo sinza mapambano, ahaaa nimeishi kwa remi mpk nakuwa mjukuu wa ongalaIjumaa bro ntakutag ππππ.
Leo ado ado.
Kabagho iko Sinza ya wap?
Na wana wangu sana Sinza.
Nimekaa Kijitonyama polisi mabatini 3 yrs na Mwenge nyuma maghorofa ya jeshi kwa miaka 4 . Jumla 7. kabla ya kuhamia Goba.
Mbona huwa nashindaπSi ushinde jf kama sisi tuπ