Mkumbushe pia bar ndo kunamichongo ukinywa home michongo utapata wap sasaNyumbani sio bar na bar sio nyumbani
Utamuita nani sasa akusikikize
Utahudumiwa na nani
Utamuomba nani bili
Utamuachia nani 'keep change'
Utamuoshea nani macho...πView attachment 3588208
Sizani kama watakuelewa labda hoja yako usindikizie na andiko la biblia au quranAcheni pombe
Unapiga direct propotion!πMbona huwa nashindaπ
Ukiamua kusummarize hivyo ni sawa.Kumbe lengo ni kutoighasi familia
Zinapanda vizuri mno,mimi leo toka saa 12 jioni nakunywa hapa home,mpaka sasaWalevi naombemi majibu bila makasiriko maana wapiga bapa huwa hawapendi kuitwa walevi
Hivi pombe za kunywea nyumbani huwa hazipandi mpk utoke uiache familia ukazungukwe na bar maids na kundi la walevi ndo mzuka unapanda ?
Kuna raha/ faida gani kutumia kitu kinachokufanya ukose nidhamuTunaishi kulingana na mazingira.
Achana na home, Mbona hausemi siku zisizo na ibada tuwe tunaenda chechi kupigia vitu muleπ€π€π€π€π€π€π€
Lakini nimalizie tuu kwa kusema POMBE HAINA NIDHAMU.
Ndio maana imetengewa sehemu zake maalumu na mazingira wezeshi kabisa ktk ukosefu wake wa nidhamu.
Ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ukacheze.Kuna raha/ faida gani kutumia kitu kinachokufanya ukose nidhamu
Ukweli mtupuKwa kujiteteaa... Eti Bar kuna michongo! Michongo gani hiyo!? Yani ukienda Bar tu kunywa tayari unakutana na michongo huko?
Labda kama ni appointment ya mchongo ndio unaweza kwenda bar mkafanya meeting na kuweka mipango.. then unagusa mbili tatu na kupotea.
Ila kuingia bar daily ati kisa unaenda kunywa na michongo sio kwelii. Kula pombe nyumbani kwa utulivu.
Na mpira ukiangalia nyumbani ndio una enjoy football. Unaona mpira kila tukio... Sio kelele za bar mara mtu kakatisha mbele hapo... Mara mwingine kalewa matusi... Concentration ya game inapotea kabisa.