Hivi Posta wanajenga nini?

Hivi Posta wanajenga nini?

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Ivi Posta wanajenga nini hapa kati kati au ndo mwendo kasi njia nyingine?

IMG_0204.jpeg
IMG_0205.jpeg
 
Huu mradi huu naona kama vurugu tu
Huu uliyopo tu kuendesha wanaushindwa

Ova
 
Tuone hitimisho tuzindue tupige picha
 
Nachukua nafasi hii kumshukuru rais wa TFF kwa ujenzi huu unaoendelea wa kuongeza wigo wa mwendokasi.
Rais wa TFF apewe kipindi kingine Tena ili miradi hii imalizike akiwa Yuko pale Ilala makao makuu ya tff.
 
Back
Top Bottom