Hivi Prof. Janabi anachukuliaje pombe?

Hivi Prof. Janabi anachukuliaje pombe?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Pombe ni tamu sana.

Its Tuesday btw

Yani msomi kama mimi nipo ndani ya taarabu and i dont care.

Mtu amualike janabi kwenye pombe siku moja moja. naona ana miss out.

Janabi nipo na students wako tuna lewa elimu sio vitendo

Sina mda sina mda..... 🎶🎼
 
Bwana Dani unakatika miuno kwenye taarabu muda huu wa nane usiku sio?
 
Pombe ni sumu! Siyo Janabi aliifanya kuwa sumu, ni nature yake
 
Pombe ni tamu sana.

Its Tuesday btw

Yani msomi kama mimi nipo ndani ya taarabu and i dont care.

Mtu amualike janabi kwenye pombe siku moja moja. naona ana miss out.

Janabi nipo na students wako tuna lewa elimu sio vitendo

Sina mda sina mda..... 🎶🎼
Mwanaume mzima unajisifia kusikiliza taarabu HEHEHEHE
IMG_083036_8524.jpeg
 
Kila nyani na starehe zake, unaacha kunywa pombe unaenda kuparamiwa na bodaboda au mlori
 
Back
Top Bottom