juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Mziki ndio umemfikisha hapo alipo hawez acha mziki hata kama katoa nyimbo mbovuLeo nimebahatika kusikia ngoma yake mpya inayoitwa KIBABE ni ngoma mbovu kupindukia,ni ya kawaida sana ,kama sio mpya na kama sio ya msanii mkubwa.hivi ni kwa nini hawa wasanii wa zamani wasiache tu muziki? Mbona wengi wao wanatoa ngoma mbofumbofu sana? Kwa nini hawataki kuamini kwamba muziki umewatupa mkono?mbona maproducer wakongwe wameacha kurekodi baada ya kuona zama zao zimekwisha?,
Jamaa uko vizuri.Kweli tuna masikio tofaut sana nakushauri onesha challenge mkuu imba na ww
Duh,haya mahaba ni kiboko,unaipenda kabla ya kuisikia[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyimbo ni nzurisana japo sijapata kuisikiliza
Ili iweje?Leo nimebahatika kusikia ngoma yake mpya inayoitwa KIBABE ni ngoma mbovu kupindukia,ni ya kawaida sana ,kama sio mpya na kama sio ya msanii mkubwa.hivi ni kwa nini hawa wasanii wa zamani wasiache tu muziki? Mbona wengi wao wanatoa ngoma mbofumbofu sana? Kwa nini hawataki kuamini kwamba muziki umewatupa mkono?mbona maproducer wakongwe wameacha kurekodi baada ya kuona zama zao zimekwisha?,
hivi wewe ndie Gwanter? samahani lakiniLeo nimebahatika kusikia ngoma yake mpya inayoitwa KIBABE ni ngoma mbovu kupindukia,ni ya kawaida sana ,kama sio mpya na kama sio ya msanii mkubwa.hivi ni kwa nini hawa wasanii wa zamani wasiache tu muziki? Mbona wengi wao wanatoa ngoma mbofumbofu sana? Kwa nini hawataki kuamini kwamba muziki umewatupa mkono?mbona maproducer wakongwe wameacha kurekodi baada ya kuona zama zao zimekwisha?,
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nyimbo ni nzurisana japo sijapata kuisikiliza
Eeeee!!! wewe naye!!!!!Nyimbo ni nzurisana japo sijapata kuisikiliza