Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,470
- 515
Najiuliza hv mdudu accountability amepotelea wapi? Serikali ilishasema payday ni tar 23 lkn kila siku tunasikia sbb za mitaani juu ya ucheleweshwaji, mara epicol mara utumbo gani sijui, kwakweli mnatia kinyaa. sisi hatuli rushwa wala hatuna posho ndo nini kila mwezi kuchelewesha kaujira ketu? poleni civil servants!