Hivi radiology na nursing bora ipi?

Hivi radiology na nursing bora ipi?

icon_2000

Senior Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
177
Reaction score
256
Habari zenu natumai mko salama

Hivi radiology na nursing bora ipi ukizingatia uwezekano wa ajira?

Naombeni maoni wakubwa🙏🙏
 
Kwasasa Radiology .

Ila Nurse inafaa kwa mtu ambaye yeye hana stress za haraka na anataka afike mbali zaidi.
 
Inategemea na Jinsia na Kabila lako hata umri pia uzingatiwe.
 
Back
Top Bottom