Masuonline
Senior Member
- Jun 4, 2013
- 192
- 17
ndio wale mkiona kichaka tu mavi yamekubana utakuja liwa 0713 hujui mwenzio defence machenism yake katika penzi lakeSamahani Jamani ila
nilikuwa naomba msaada wa haraka,mimi ni mvulana ambaye nina rafiki
yangu wa kike (not girlfriend) ambaye ana mtu wake ambae na yeye ni
rafiki yangu,ila cha kushangaza biti huyo amekuwa akinionesha ishala za
kunitaka kimapenzi kwani amekua asiponiona hajisikii vizuri na vitu
vingi kunioneshea kama mapozi,kunionea aibu n.k ,kwa hiyo jamani wadau
wa JF nilikuwa naomba msaada ili ninusuru moyo wangu kabla haujaanzwa
kuumizwa na huyo binti ?
Kweli wewe ni mvulana.Samahani Jamani ila nilikuwa naomba msaada wa haraka,mimi ni mvulana ambaye nina rafiki yangu wa kike (not girlfriend) ambaye ana mtu wake ambae na yeye ni rafiki yangu,ila cha kushangaza biti huyo amekuwa akinionesha ishala za kunitaka kimapenzi kwani amekua asiponiona hajisikii vizuri na vitu vingi kunioneshea kama mapozi,kunionea aibu n.k ,kwa hiyo jamani wadau wa JF nilikuwa naomba msaada ili ninusuru moyo wangu kabla haujaanzwa kuumizwa na huyo binti ?