Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Hii nchi uzuzu umefika pabaya sana, serikali imeacha mambo ya msingi yaharibike. Inahangaika na punguzo la bei za petrol inajisahau bei za bidhaa na huduma zingine ambazo baadhi mfumuko wake wa bei ni wa umakusudi kbsa kutumia fursa ya utopolo wa watendaji na viongozi.
Badala ya serikali kuunda timu au kikosi kazi cha kuchunguza upandaji wa bei holela na wa mauwaji ya kimbari ya uchumi katika jamii inaunda kikosi cha kizuzu cha mambo ya siasa.
Akili ndogo itawapa fikra ndogo endeleeni kuupiga mwingi.