Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Hii nchi uzuzu umefika pabaya sana, serikali imeacha mambo ya msingi yaharibike. Inahangaika na punguzo la bei za petrol inajisahau bei za bidhaa na huduma zingine ambazo baadhi mfumuko wake wa bei ni wa umakusudi kbsa kutumia fursa ya utopolo wa watendaji na viongozi.
Badala ya serikali kuunda timu au kikosi kazi cha kuchunguza upandaji wa bei holela na wa mauwaji ya kimbari ya uchumi katika jamii inaunda kikosi cha kizuzu cha mambo ya siasa.
Akili ndogo itawapa fikra ndogo endeleeni kuupiga mwingi.
sasa unataka Rais ndio akununulie rim paper? wacheni kudeka fanyeni kazi ilihali mkijua hali ya uchumi duniani imekuwa mbaya kwa ujumla wake.Hii nchi uzuzu umefika pabaya sana, serikali imeacha mambo ya msingi yaharibike. Inahangaika na punguzo la bei za petrol inajisahau bei za bidhaa na huduma zingine ambazo baadhi mfumuko wake wa bei ni wa umakusudi kbsa kutumia fursa ya utopolo wa watendaji na viongozi.
Badala ya serikali kuunda timu au kikosi kazi cha kuchunguza upandaji wa bei holela na wa mauwaji ya kimbari ya uchumi katika jamii inaunda kikosi cha kizuzu cha mambo ya siasa.
Akili ndogo itawapa fikra ndogo endeleeni kuupiga mwingi.
Anajua ila timu msoga inambana ili wafidie hasara waliyoata enzi za kibano cha mwendazake.Hii nchi uzuzu umefika pabaya sana, serikali imeacha mambo ya msingi yaharibike. Inahangaika na punguzo la bei za petrol inajisahau bei za bidhaa na huduma zingine ambazo baadhi mfumuko wake wa bei ni wa umakusudi kbsa kutumia fursa ya utopolo wa watendaji na viongozi.
Badala ya serikali kuunda timu au kikosi kazi cha kuchunguza upandaji wa bei holela na wa mauwaji ya kimbari ya uchumi katika jamii inaunda kikosi cha kizuzu cha mambo ya siasa.
Akili ndogo itawapa fikra ndogo endeleeni kuupiga mwingi.
Hongera kwa kuwa na PhD mkuusasa unataka Rais ndio akununulie rim paper? wacheni kudeka fanyeni kazi ilihali mkijua hali ya uchumi duniani imekuwa mbaya kwa ujumla wake.
Nashukuru sana nimeipata mwaka 2010, ni miaka 12 sasa. Ubarikiwe.Hongera kwa kuwa na PhD mkuu
Aisee,......sasa unataka Rais ndio akununulie rim paper? wacheni kudeka fanyeni kazi ilihali mkijua hali ya uchumi duniani imekuwa mbaya kwa ujumla wake.
"Necessity is the mother of invention" Uhitaji (umuhimu) ni mama wa uvumbuzi.Vitu havipandi bei kiholela.
ni wazalishaji ndio wanapandisha bei.
Shida tumeshindwa kutengeneza bidhaa zetu wenyewe.