mwibamwiba
Senior Member
- May 22, 2015
- 150
- 38
Wadau katika umri wangu wote na uzee huu nilionao sijawahi kusikia au kuona rais yeyote yule duniani amekwenda bank au ATM au mpesa kudraw mshahara wake, awe amestaafu au bado amiri jeshi mkuu, Je, wao huchukua vipi pesa zao! Wadau wa mambo ya fedha tunaomba mtuelimishe na ikiwa hawachukui sasa mshahara wanalipwa na wanini. Tupeni elimu tafadhali.:llama::hand: