mwibamwiba
Senior Member
- May 22, 2015
- 150
- 38
Mkuu vipi, ulifanya ziara nyingine kule Tarime?kwa mawazo yangu.. raisi ni mmojawapo wa wateja ambao wanaweza hudumiwa hata nyumbani kwake...
akihitaji hela bank inapeleka mhudumu ikulu anamhudumia pale pale...
nina imani sio rais tu hata mabilionea huwa wanafatwa na bank popote walipo na kupewa huduma...
kuna tangazo la nbc zaman nililionaga kwenye tv linaonesha mhudumu anamfata mtu nyumbani kumpa huduma..
tena siku hizi kuna POS zile.. hii ndio njia inayotumika...
au anakuwa na cheque book malipo yake yote anayafanya kwa cheque... mfano ada za ndugu zake au ujenzi na mengineyo analipa kwa cheque tu
Ha ha ha ha ha......kwenye hiyo angle mkuu inawezekana kabisa, japo ni movie lkn knilikuwa nacheki series inaitwa Scandal, nilikuwa namuona Mr Prezidaa anavyotoroka kwake na walinzi wachache kufuata mchepuko.Hivi kwa ulinzi alionao Rais anaweza kuchepuka kweli???
Interahamwe kwenye mapori la kongo umeshatoka.Mkuu vipi, ulifanya ziara nyingine kule Tarime?
Hivi kwa ulinzi alionao Rais anaweza kuchepuka kweli???