Hivi Rais Kenyatta anaipenda Kenya kweli?

Mtyela Kasanda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
554
Reaction score
818
Hivi kweli Rais wa Kenya ana nia ya dhati na maendeleo ya nchi yake kweli? The guy just enjoys being President, he lacks everything a patriot needs. Au Magufuli has set the bar so high that anything less is considered incompetent, am I secretly comparing him to Magufuli? Does this sound incoherent? Sijui

Well, nimeona CS Kagwe anasema "Kwanini tuwape Tanzania msaada wa Jack Ma wakati hawana Corona?" Huyo kiongozi wa serikali anasema Tanzania haina Corona and yet Tanzanians are being screened at the border for Covid 19. Na zaidi ni kwamba Tanzania with no covid was not in the list of countries allowed into Kenya "free of the 14 days quarantine".

The President just move lazily, taking no actions or taking them with impunity. Kenya has less than 600 deaths of covid related cases since the first case was recorded in Kenya about 5 months ago. Why is the country on lockdown? He just doesn't seem like the kind of guy who would do anything for Kenya.
 
Mtajuana wenyewe na Korona yenu ya kubumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…