Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
How? Au niripoti kivipi?Kama una ripoti, ripoti jambo straight wahusika walishughulikie... Sio hivi Mkuu
Ngoja tuone. Kuna mtendaji alikamata watuhumiwa mbaya zaidi waliwapiga mmoja akafariki.Mke wa marehemu ameambiwa amuone mkuu wa wilaya .Ngoja tuone kama haki itatendekaYakitokea matukio ya hivyo yakifika kwenye Kamati ya Ulinzi na Usalama yanashughulikiwa na haki inatendeka. Ila hawawezi kutoa taarifa kwa Bw Rais kama wameshatatua tatizo. Lakini kuna baraza la usalama la Taifa rais ni Mwenyekiti nafikiri masuala kama haya yanapaswa kuripotiwa kama walishughulikia au vipi?
macson
Nachomaanisha ni kuongea wazi kwamba sehemu fulani kuna 1,2,3How? Au niripoti kivipi?
Sio raihisi kumpataNachomaanisha ni kuongea wazi kwamba sehemu fulani kuna 1,2,3
changuwamalunde umeelewa nilichokuwa namaanisha?Kwa utoaji wa taarifa za namna hii, hayo unayotaka rais ayafaham hawezi kuyafaham.
Huwezi kuishia tu kusema "Hasa maeneo ya vijijini".
Sent using Jamii Forums mobile app
Awamu hii WalaLock up ya mtendaji kata is unlawful custody hairuhusu kumlaza mtu kama inabidi wanatakiwa wampeleke Polisi.Siku akiwafia mtuhumiwa watajua cha kujibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Awamu hii Wala
Mbona Kuna Mama mwenye kichanga alikamatwa kwa kosa la mumewe na kupelekwa lockup ya polisi mtoto usiku baridi ndugu wamekuja kumchukua mtoto polisi wamegoma, basi wakaomba apewe blangeti nalo wakakataa mwishowe kichanga baridi kikakiingia kikafa polisi. Asbh Mama anawaonyesha mtoto keshajifia zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya sanaAwamu hii Wala
Mbona Kuna Mama mwenye kichanga alikamatwa kwa kosa la mumewe na kupelekwa lockup ya polisi mtoto usiku baridi ndugu wamekuja kumchukua mtoto polisi wamegoma, basi wakaomba apewe blangeti nalo wakakataa mwishowe kichanga baridi kikakiingia kikafa polisi. Asbh Mama anawaonyesha mtoto keshajifia zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa.ila maana yangu ni kwamba haya mambo yanatokea sehemu zote mijini na vijijini ila vijijini imezidi sana
Hujaeleza tatizo angalau cases kadhaa inayohusiana na unyanyasaji unaofanywa na hao watendaji wa kata; mfano tarehe.....mtendaji wa kata ya ....aliweka watu kadhaa ndani bila sababu ya msingi hadi wanatolewa kwa rushwa.....hali kadhalika mtendaji wa kata ya.....aliweka mtu/watu ndani ktk mazingira ya kubadilisha rushwa. Umeeleza jumlajumla sana.How? Au niripoti kivipi?
Nahofia uhai wangu.ila ni mambo ambayo yapo wazi sanaHujaeleza tatizo angalau cases kadhaa inayohusiana na unyanyasaji unaofanywa na hao watendaji wa kata; mfano tarehe.....mtendaji wa kata ya ....aliweka watu kadhaa ndani bila sababu ya msingi hadi wanatolewa kwa rushwa.....hali kadhalika mtendaji wa kata ya.....aliweka mtu/watu ndani ktk mazingira ya kubadilisha rushwa. Umeeleza jumlajumla sana.