GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Rais wangu na mwana Simba SC mwenzangu JPM ni kweli kabisa kwamba siku zile uliona mpira ule mbovu wa Simba dhidi ya Kagera Sugar ila Mheshimiwa Rais nahisi ungeuona Mpira wa Yanga SC au kama unaweza leo ' zuka ' tu pale Uwanja wa Uhuru uwashuhudie Yanga SC nina uhakika kwa jinsi usivyopenda Ujinga unaweza hata ukaamuru TFF ivunjwe upesi, kusiwepo na mpira kabisa Tanzania na ukaamuru hata Wachezaji wote wakalale Segerea kwa miezi mitatu.
Nawasilisha.
Nawasilisha.