Hivi Rais Magufuli angeuona mpira mbovu wa Yanga si ndiyo angeamuru TFF ivunjwe na mpira usiwepo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Rais wangu na mwana Simba SC mwenzangu JPM ni kweli kabisa kwamba siku zile uliona mpira ule mbovu wa Simba dhidi ya Kagera Sugar ila Mheshimiwa Rais nahisi ungeuona Mpira wa Yanga SC au kama unaweza leo ' zuka ' tu pale Uwanja wa Uhuru uwashuhudie Yanga SC nina uhakika kwa jinsi usivyopenda Ujinga unaweza hata ukaamuru TFF ivunjwe upesi, kusiwepo na mpira kabisa Tanzania na ukaamuru hata Wachezaji wote wakalale Segerea kwa miezi mitatu.

Nawasilisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumeshasahau bana ila kaseja bonge la kipa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumeshasahau bana ila kaseja bonge la kipa

Ulivyomtaja Kaseja ndiyo umenichefua / kunitibua kabisa Mkuu. Yule Mtoto ni mbaya sana na alaaniwe kabisa! Hana adabu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulivyomtaja Kaseja ndiyo umenichefua / kunitibua kabisa Mkuu. Yule Mtoto ni mbaya sana na alaaniwe kabisa! Hana adabu.
 
Rais kaongea vile kutokana na performance ya timu ya Simba Siku ile maana mlibanwa sana mbavu hadi mwisho wa mchezo kuambulia kutobolewa tundu na sindano ndeeefu iliyochongaka.
Sasa hizi habari za Yanga zinakujaje hapa wakati mechi ilikuwa yenu Mikia Sc na mlimwita wenyewe, kwani huo ubovu au ubora wa Yanga yeye haujui..?? Hali ya kuwa mwenyewe Rais kaproovisha kuwa ni mfuatiliaji bora wa Mpira na Ligi zote dunia hii.
Acha kujitetea/kujikweza kupitia mgongo wa Yanga.. Mikia Sc mliharibu mech na hamkumridhisha Rais kwa uchezaji wenu ITABAKI kuwa hvyo tu..
 
Simba ndio timu ya kwanza kucharazwa muwa wa matako mbele ya mheshimiwa rais. Anayebisha anyooshe kidole
 
Maneno ya gongowazi fc!
Gongowazi leo masaubwire amekupapasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…